Radio ya jamii Kyela Fm, inapenda kuwatangazia wananchi wote walio na sifa kuomba nafasi ya kazi,
Majukumu ya Mhariri:
Kukagua habari zote Kyela fm, zinazo letwa, andaliwa na kwenda hewani.
Kusimamia habari zote redioni.
Kusimamia vikao vyote vya habari (Editorial Meeting)
Kutoa taarifa ya kila wiki kwa meneja wa radio
Kusimamia maripota na wanafunzi watakao fanyamazoezi kwa vitendo redioni.
Sifa za Muombaji.
Awe na cheti cha kuzaliwa
Muombaji awe na elimu kuanzia stashahada na kuendelea katika taaluma ya habari kutoka katika chuo kinachotambulika na serikali.
Nakala halisi za vyeti vya taaluma yake
Maelezo binafsi ya muombaji yaani CV yenye wadhamini watatu
Uzoefu usiopungua miaka miwili (02) katika tasnia ya habari hasa kwenye chumba cha habari.
Barua zote ziandikwe kwa Mkono.
Wale wote watakaochaguliwa ndo wataiwa kwa ajili ya usahili.
Mwisho wa kuleta maombi ni tarehe 30.06.2015 saa 10.00 kamili!
Maombi yatumwe kwa Meneja radio
P.o.box 600 Kyela.
E-mail: manager.kyelafm@gmail.com
Post a Comment