BAADA ya manung'uniko makubwa ya wadau wa soka wa Tanzania hatimaye Shirikisho la soka kupitia kwa Rais wake Jamali Malinzi wiki hii alimteua kocha Charles Boniface Mkwasa ‘Master’ kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ‘Taifa Stars’ akichukua...
MAMIA WAMLAKI LOWASA MBEYA,APATA WADHAMINI WENGI ZAIDI


Umati wa WanaCCM pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Mbeya, wakiwa wamemzunguka, Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa (katikati), wakati alipowasili kwenye Ofisi za CCM Mkoa wa Mbeya leo Juni 19, 2015, kukabidhiwa...
MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO AFRIKA, CRDB BANK KYELA YAKABIDHI ZAWADI KWA WATOTO


Meneja Biashara CRDB Kyela Bwana Misape Tindwa akimkabidhi zawadi mmoja wa watoto wanaomiliki akaunti ya JUNIOR JUMBO waliohudhuria hafla ya MTOTO WA AFRIKA
Bwana Misape Tindwa akimkabidhi zawadi mtoto anayemiliki...
NAFASI YA KAZI MHARIRI; NAFASI MOJA (1) KYELA FM RADIO KYELA


Radio ya jamii Kyela Fm, inapenda kuwatangazia wananchi wote walio na sifa kuomba nafasi ya kazi,
Majukumu ya Mhariri:
Kukagua habari zote Kyela fm, zinazo letwa, andaliwa na kwenda hewani.
Kusimamia habari zote redioni.
Kusimamia vikao vyote vya...